Skip to main content
Skip to main content

Ubakaji Elgeyo Marakwet wazua hofu ya usalama

  • | Citizen TV
    615 views
    Duration: 2:33
    Chifu mmoja kaunti ya Elgeyo Marakwet pamoja na mkewe na washukiwa wengine wawili wanazuiliwa kwa tuhuma za kubakwa kwa mwanamke nyumbani kwa chifu huyo. Mwathiriwa wa tukio hili ambaye sasa anauguza majeraha baada ya kufanyiwa upasuaji wa sehemu zake za siri amedai kubakwa kwa njia za kikatili. Wakazi wa kijiji cha Kipsaos sasa wakitaka hatua wakilalamikia kudodora kwa usalama.