Ubomozi unaendelea katika eneo la Milimani Kakamega licha ya mahakama kutoa amri ya kusitishwa

  • | West TV
    54 views
    Licha ya chama cha mawakili kaunti ya kakamega lsk kulalamikia hatua ya serikali kuyabomoa makazi ya wamiliki wa ardhi katika mtaa wa milimani viungani mwa mji wa kakamega hata baada ya mahakama kutoa agizo la kusimamisha ubomozi huo, ubomozi huo unaendelea, makazi ya aliyekuwa waziri katika serikali iliyopita amina mohammed yakiathirika