Skip to main content
Skip to main content

Ubunifu! Cybertuck ya vyuma chakavu Nigeria

  • | BBC Swahili
    959 views
    Duration: 36s
    Mwanaume mmoja kutoka Nigeria ametengeneza gari linalofanana na Tesla Cybertruck kwa kutumia vyuma chakavu na injini ya zamani. Adebayo, anayejulikana kama Yakkabad, ni alijifunza mwenyewe kuhusu ubunifu na utengenezaji wa vitu. Alivutiwa sana na muundo wa kipekee wa Tesla Cybertruck, hivyo akaamua kujaribu kutengeneza gari linalofanana na hilo. Alikusanya vyuma chakavu na injini ya zamani kutoka maeneo ya jirani na kuanza kulijenga gari hilo mwezi Agosti 2024. #bbcswahili #nigeria #cybertrucknigeria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw