Skip to main content
Skip to main content

Uchafu wa mazingira Malindi

  • | Citizen TV
    132 views
    Huku mvua ikiendelea kushuhudiwa katika ukanda wa Pwani Manispaa ya Malindi Kaunti ya Kilifi imetishia kuwachukulia hatua Watu ambao wanatupa taka ovyo katika mabomba ya Maji na kuharibu miundo misingi mjini humo.