Uchaguzi Kenya 2022: Changamoto wanazozipitia wanawake katika siasa

  • | BBC Swahili
    2,054 views
    kiwa zimesalia siku tatu tu taifa la Kenya kuelekea katika uchaguzi mkuu, bado kuna matumaini ya idadi ya wanawake kuongezeka kwenye uwakilishi, japo hatua hio inafikiwa kwa utaratibu mno. Tukiangazia changamoto wanazopitia ,ikiwemo fedha utamaduni,ukabila na mengine mengi. Mwandishi wa BBC Caro Robi amezungumza na @neemalugangira , mbunge wa viti maalum katika bunge la Jamhuri ya Tanzania, Roselinda Soipan Tuya ,mwakilishi wa wanawake katika kaunti ya Narok, pamoja na Maimuna Mwidau mwanaharakati wa uhamasisho wa wanawake. #uchaguzikenya2022 #wanawake #bbcswahili