Uchaguzi Kenya 2022: Mambo matano makuu yanayotawala uchaguzi mkuu wa Kenya

  • | BBC Swahili
    1,697 views
    Kenya inaelekea uchaguzi mkuu tarehe 9 Agosti mwaka huu na masuala makubwa katika uchaguzi huu ni ukosefu wa ajira,umaskini ,gharama ya juu ya maisha,ufisadi,ukosefu wa usalama na afya . Lakini shina kubwa linalounganisha masuala yote haya yote ni uchumi . Mwandishi wa BBC, Esther Namuhisa anatueleza zaidi #uchaguzikenya2022 #kenya #siasa