Skip to main content
Skip to main content

Uchaguzi mdogo wa eneobunge la Ol Kalou kaunti ya Nyandarua waendelea vyema

  • | Citizen TV
    11,385 views
    Duration: 17:38
    Uchaguzi mdogo wa eneobunge la Ol Kalou kaunti ya Nyandarua waendelea vyema . Wapigakura 73,480 wajisajiliwa katika vituo 144 vya wadi tano. Tume ya IEBC yaidhinisha wagombea 9 kuwania kiti hicho cha ubunge.