- 1,401 viewsDuration: 3:17Viongozi wa chama cha UDA katika eneo bunge la Ol Kalou wameushtumu upinzani kutokana na kile walichokitaja kuwa kuchochea hali ya wasiwasi kabla ya uchaguzi mdogo wa tarehe 16 mwezi huu. Wakiongozwa na gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru, viongozi hao walikosoa shambulizi la hivi majuzi dhidi ya viongozi wa wanawake katika hoteli moja kwenye eneo bunge hilo wakisema upinzani unaeneza hofu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive