Tume ya uchaguzi nchini IEBC, imesema itatumia vifaa vya kidijitali vya KIEMS pekee kuwatambua wapiga kura kwenye uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Ol Kalou hapo kesho.Tume hiyo ilisema wapiga kura 73,480 wanaotarajiwa kushiriki kwenye uchaguzi huo watatambuliwa tu kupitia vifaa hivyo vya KIEMS na siyo kupitia njia nyingine yoyote.John Jacob Kioria anatusimulia zaidi kutoka Ol Kalou.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive