Uchaguzi wa AUC I Ruto akutana na marais watano kuwashawishi kumuunga mkono Raila

  • | KBC Video
    801 views

    Kenya imeimarisha juhudi zake za kutafuta uungwaji mkono wa Raila Odinga anayegombea wadhifa wa mwenyekiti wa tume ya muungano wa Afrika. Rais William Ruto anayeongoza ujumbe wa Kenya nchini Ethiopia alikutana na takriban marais watano kujaribu kuwashawishi kumuunga mkono Odinga anayehitaji kura za mataifa 32 ili kuibuka mshindi katika kinyang’anyiro hicho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive