Uchaguzi wa LSK I Shughuli ya kuhesabu kura yaendelea kote nchini

  • | KBC Video
    51 views

    Shughuli ya kuhesabu kura inaendelea kote nchini baada ya wanachama elf-15 wa chama cha mawakili humu nchini-LSK kupiga kura kuwachagua maafisa wapya ambao watakuwa afisini kwa miaka miwili. Wagombeaji watano wanawania wadhifa wa rais wa chama cha LSk wakiwemo mawakili Peter Wanyama, Faith Odhiambo, Benard Kipng'etich, Njoki Mboce nas Carolyne Kamende.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive