Skip to main content
Skip to main content

Uchaguzi wa mapema Zanzibar

  • | BBC Swahili
    11,546 views
    Duration: 3:19
    Leo visiwani Zanzibar wanapiga kura za mapema, zinazohusisha makundi fulani maalum, hasa maofisa wa usalama na wale wa uchaguzi watakaokuwa watumishi muhimu katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika kesho tarehe 29 Oktoba. @sammyawami yupo visiwani humo kufuatilia uchaguzi na ametuandalia taarifa hii. 🎥 @eagansalla_gifted_sounds - - #bbcswahili #tanzania #uchaguzimkuu2025 #zanzibar