- 565 viewsDuration: 3:02Tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC inaendelea kusambaza vifaa vya kupigia kura katika vituo mbalimbali kuliko na uchaguzi mdogo. wabunge sita , seneta mmoja na wawakilishi wadi 17 watachaguliwa kesho. maripota wetu wako katika maeneo yatakayokuwa na uchaguzi mdogo wakifuatilia matukio hayo.