24 Apr 2026 10:16 am | Citizen TV 468 views Duration: 1:20 Mbunge wa kimilili na ambaye pia anawania kiti cha ugavana katika kaunti ya Bungoma Didmus Barasa ameibua mdahalo wa kuvunja vyama vingine kaunti hiyo na kujiujga na kile Cha UDA.