14 Sep 2026 1:48 pm | Citizen TV 1,206 views Duration: 3:12 wakaazi zaidi ya elfu 13 katika maeneo mbalimbali ya Kaunti ya Lamu wamejitokeza kushiriki marudio ya uchaguzi wa mashinani wa chama cha UDA. Rahma Rashid na taarifa hiyo