Uchimbaji mafuta DRC walalamikiwa kuathiri mazingira na afya za watu

  • | VOA Swahili
    239 views
    DRC ikiwa ina mipango ya kuuza maeneo zaidi ya uchimbaji mafuta mwaka huu, wanaharakati wa kutetea mazingira na wananchi tayari wanalalamika kutokana na uchafuzi katika maeneo ambayo tayari uchimbaji unafanyika. Katika ziara nadra iliyofanywa na waandishi habari wa kimataifa kwenye viwanja vya uchimbaji mafuta walizungumza na raia wanaosema hewa na ardhi yao imechafuliwa na kudhuru mime na afya zao. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.