Skip to main content
Skip to main content

Uchunguzi wa maiti wabaini Sherly Achieng’ alifariki kwa jeraha la risasi kichwani, risasi yatoweka

  • | Citizen TV
    1,499 views
    Duration: 2:24
    Uchunguzi wa maiti ya Sherly Achieng’ msichana aliyepigwa risasi na afisa wa polisi mtaani huruma hapa jijini Nairobi umeibaini alifariki kutokana na majeraha ya risasi kichwani. Wasiwasi umeibuka baada ya kubainika kuwa risasi iliyomua sherly haikupatikana na haijulikani iliko