Skip to main content
Skip to main content

Uchunguzi wa maiti ya Sheryl Achieng’ mashakani

  • | Citizen TV
    2,251 views
    Duration: 2:31
    Uchunguzi wa maiti ya Sheryl Achieng’ msichana aliyepigwa risasi na afisa wa polisi mtaani Huruma hapa jijini Nairobi umeibaini alifariki kutokana na majeraha ya risasi kichwani. Na kama anavyoarifu franklin wallah, wasiwasi imeibuka baada ya kubainika kuwa risasi iliyomua Sherly haikupatikana na haijulikani iliko….