Skip to main content
Skip to main content

Uchunguzi wa maiti za Kwa Binzaro wakosa majibu kamili

  • | Citizen TV
    568 views
    Duration: 1:25
    Shughuli ya upasuaji kwa miili na viungo vilivyopatikana msitu wa Kwa Binzaro kaunti ya Kilifi imefanyika katika hifadhi ya maiti ya Malindi. Shughuli hiyo ya upasuaji imendeshwa na mpasuaji mkuu wa serkali Johansen oduor ikijiumuisha maafisa wa upelelezi kutoka kitengo cha kuchunguza mauaji cha DCI. kwa mujibu wa Daktari Oduor, ilikuwa vigumu kubaini kilichosababisha vifo kwa viungo vilivyopatikana huku mwili mmoja ukibaini kuwa muhusika aliugua mapafu na kufariki.