- 4,166 viewsDuration: 2:31Familia ya mfanyabiashara wa Nyeri aliyeuawa kikatili, Joy Kanini, yaweza kuanza maandalizi ya mazishi yake baada ya maafisa wa DCI kupata sehemu ya mwisho ya mwili wake iliyokuwa imepotea. Wapelelezi wasema mshukiwa mkuu wa mauaji hayo, John Ndiritu Muriithi maarufu Tizo, awaongoza hadi kwenye choo cha shimo alimoficha kichwa cha marehemu