Skip to main content
Skip to main content

Uchunguzi waonyesha gari huenda lilitupa mwili wa Patience Mumbe karibu na kituo cha polisi Embakasi

  • | Citizen TV
    9,616 views
    Duration: 1:33
    Uchunguzi wa punde wa maafisa wa upelelezi kuhusiana na mauaji ya msichana wa miaka 12 Patience Mumbe sasa unaonyesha kuwa huenda kuna gari lililotupa mwili wake karibu na kituo cha polisi cha Embakasi. Maafisa hawa wa upelelezi sasa wakitafuta gari hilo aina ya Probox lililonaswa kabla ya mwili wa Patience uliokuwa na majeraha na dalili za kubwa ulipatikana