- 21,298 viewsDuration: 4:20Maafisa wa upelelezi wanaochunguza kushambuliwa na kupigwa kwa Seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi wanasema uchunguzi unaashiria wahusika walikuwa na mpango kabambe kuhusu jinsi ya kumvamia. Wapelelezi wanachunguza simu za washukiwa watatu waliofikishwa mahakamani leo. Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen ameagiza uchunguzi wa haraka akilaani matumizi ya wahuni kuwakabili mahasimu wa kisiasa.