Skip to main content
Skip to main content

UDA yahamasisha wananchi kujisajili kama wapiga kura

  • | Citizen TV
    306 views
    Duration: 1:56
    Chama kinachotawala, UDA, kinaendelea kuandaa mikutano ili kukusanya na kuhamasisha wanachama katika maeneo tofauti nchini kujiandikisha kama wapiga kura.