Ufadhili wa benki ya dunia kuimarisha utendakazi wa kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    129 views

    Kaunti ya Kajiado imetia saini mkataba utakaowezesha kaunti hiyo kupata pesa zaidi za kufanikisha miradi ya ugatuzi kupitia benki ya dunia na wafadhili wengine.