Skip to main content
Skip to main content

Ufaransa yathibitisha kisa cha kwanza cha Ebola nchini humo. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    16,535 views
    Duration: 28:10
    Wizara ya afya nchini Ufaransa imethibitisha kisa cha kwanza cha Ebola nchini humo. Daktari aliyerejea kutoka Jamhuri ya Kidemocrasi ya Congo agunduliwa kuugua ebola huku mamlaka nchini Ufaransa zikisema wanawatafuta watu ambao walitangamana na daktari huyo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw