Ugonjwa usioleleweka wazuka Bamburi mwisho Mombasa

  • | Citizen TV
    2,173 views

    Watu zaidi ya 15 katika mtaa wa Bamburi mwisho kaunti ya Mombasa wanaugua ugonjwa ambao maafisa wa afya wameshindwa kuutambua kufikia sasa. Wakazi hao wanalalamikia maumivu makali ya kichwa na mgoti, vipele mwilini, miguu kufura na kisunzi pamoja na dalili nyingine. Maafisa wa Wizara ya Afya kaunti ya Mombasa wamechukua sampuli za damu kwa uchunguzi zaidi.