Ugonjwa wa uvimbe wa mapafu ambao husababisha maafa tiba ikichelewa

  • | K24 Video
    30 views

    Uvimbe wa mapafu hutokana na kujaa maji mwilini. Ugonjwa huo unaotambuliwa kama edema hutatiza shughuli za mfumo wa kupumua na kupelekea mauti mgonjwa asipopata tiba kwa wakati.