24 Nov 2025 8:04 pm | Citizen TV 331 views Duration: 1:03 Matayarisho ya uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Ugunja kaunti ya Siaya yanaendelea kushika kasi, ambapo jumla ya wagombea kumi kumezea mate kiti hicho.