Uhaba mkubwa wa simu za rununu za kisasa nchini

  • | Citizen TV
    3,966 views

    Kuna uhaba wa simu za rununu za kisasa nchini, wauzaji simu hizo wakisema hawana za kutosha ikilinganishwa na idadi ya wakenya wanaotaka kununua simu hizo. Na sasa baadhi ya wakenya wamelazimika kununua simu za rununu zilizotumika. Wauzaji simu wanasema hili huenda ni kutokana na mwongozo mpya wa tume ya KRA kuhusu mizigo inayoingizwa nchini.