- 481 viewsDuration: 3:01Uhaba wa mafuta umeendelea kushuhudiwa maeneo mengi nchini huku wateja wakilazimika kuweka foleni ndefu kwenye vituo vichache vilivyokuwa na bidhaa hii katika maeneo kama Nyeri na Kisii. Vituo vingi vikifungwa kutokana na uhaba huo wa mafuta. Muungano wa wasafirishaji mizigo sasa ukionya kuwa hali hiyo inaathiri usafiri, huku Wakenya wakitaka serikali kuweka bayana ikiwa kweli kuna mafuta ya kutosha.