- 213 viewsDuration: 3:06Wakenya milioni 2.2 wanapokumbwa na baa la njaa kufuatia hali ya ukame, huko upande wa kaskazini mwa nchi, Wafugaji wamelazimika kusafiri mwendo mrefu kusaka bidhaa hiyo adimu na kuchimba visima vidogo kando ya kingo za mito iliyokauka ili kutafuta maji.