- 350 viewsDuration: 3:52Wakenya milioni 2.2 wanapokumbwa na baa la njaa kufuatia hali ya ukame,uhaba wa maji pia umezidi kuwatatiza wafugaji wa kaskazini mwa nchi. Wafugaji wakilazimika kusafiri mwendo mrefu kusaka bidhaa hiyo adimu na kuchimba visima vidogo kando ya kingo za mito iliyokauka ili kukata kiu ya maji.