Uhamasisho dhidi ya wizi na matumizi ya dawa za kulevya

  • | K24 Video
    39 views

    Utafiti uliofanywa na shirika la kibinafsi la Research Gate mwaka jana ulionyesha kuwa asilimia 91 ya uhalifu hutekelezwa na vijana wa umri wa kati ya miaka 14 na 35. Korogocho ni mojawapo ya vitongoji duni vikubwa jijini Nairobi ambavyo vina jazanda hiyo. Ingawa ni mtaa unaojulikana kwa maovu, kuna baadhi ya wahalifu wanaojutia maisha hayo na sasa wameamua kurekebisha mienendo yao. Vijana hao wamejitwika jukumu la kuhamasisha jamii dhidi ya wizi na matumizi ya dawa za kulevya