Uhuru Kenyatta: 'Nia yangu ni kusimamia makabidhiano ya amani'

  • | BBC Swahili
    5,002 views
    Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza kujitolea kwake kusimamia makabidhiano ya amani ya mamlaka kwa utawala ujao. Katika hotuba yake iliyopeperushwa kwenye runinga Jumatatu jioni, Uhuru alisema kwa kutii kiapo alichotoa alipochukua madaraka cha kuzingatia sheria na kuheshimu maamuzi ya michakato ya mahakama, ataheshimu uamuzi wa Mahakama ya Juu zaidi wa kuidhinisha uchaguzi wa William Ruto kama Rais mteule. #bbcswahili #kenya #siasa