17 Apr 2026 10:54 am | Citizen TV 146 views Duration: 2:00 Wadau wa uhifadhi wa mazingira wamekubaliana kutumia maarifa ya jadi kurejesha baadhi ya miti asilia iliyotoweka katika mfumo wa ikolojia wa Mlima Elgon.