Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi shule ya Nkama Kajiado Magharibi yapata sura mpya

  • | Citizen TV
    40 views
    Kukamilia kwa ujenzi wa madarasa matano, ofisi, na vyumba vya walimu katika shule ya Msingi ya Nkama katika eneo bunge la Kajiado magharibi imetoa matumaini kwa walimu na wanafunzi ambao walikuwa wakisoma kwenye mazingra duni ikiwemo chini ya mti. Wadau waliozungumza kwenye uzinduzi wa mradi huo ambao umefadhiliwa na wahisani wakiongozi na shirika la WHH wanasema kuwepo kwa mazingira bora ya kusomea itasaidia kuimarisha elimu na kuwavutia wanafunzi wengi zaidi kujiunga na shule hiyo