Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa Barabara ya Kenol-Marua umefika 97%

  • | Citizen TV
    2,207 views
    Duration: 4:01
    Kuimarika kwa utalii, kupunguka kwa muda wa Usafiri na kuchipuka kwa biashara mpya, ni kati ya manufaa yanayotarajiwa kuwafaa wakaazi wa kaunti tatu za Mlima kenya, inakopitia Barabara ya Kenol Marua. Kwa wakazi, ujenzi huo ambao umefikia asilimia ya tisaini na saba, tayari umeibadilisha sura ya maeno mengi, huko Nyeri eneo la Marua likianza kukua, baada ya miaka mingi ya kuonekana kutelekezwa.