Ujenzi wa barabara ya Suneka katika kaunti ya Kisii wapongezwa

  • | Citizen TV
    158 views

    Shughuli za kibiashara zinaendelea kunoga katika soko la Suneka kufuatia ujenzi wa barabara ya Kisii- Suneka ambayo imekuwa ikiendelea kwa miaka kadhaa. Barabara hiyo ni ya kipekee kuonekana katika eneo nzima la Gusii mwanahabari wetu Chrispine Otieno amezungumza na wakazi wa Bonchari walionufaika na barabara hiyo.