Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa Kipkeino Stadium Kapsabet

  • | Citizen TV
    2,058 views
    Duration: 1:18
    Waziri wa ulinzi Soipan Tuiya leo ameongoza sherehe ya kihistoria ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa kisasa wa Kipchoge Keino, unaotarajiwa kuchukua watazamaji 10,000, mjini kapsabet, kaunti ya Nandi.