26 Nov 2025 1:41 pm | Citizen TV 363 views Duration: 1:15 Serikali imekamilisha ujenzi wa kituo cha pamoja cha kuvukia mpaka kinachounganisha Kenya na Uganda katika eneo la Suam, Kaunti ya Trans Nzoia.