Ujenzi wa kituo cha viwanda cha Sagana Kirinyaga washika kasi

  • | Citizen TV
    128 views

    Ujenzi wa eneo la viwanda la sagana katika kaunti ya kirinyaga umefikia asilimia 85, huku maghala, na miundomsingi mingine muhimu ikiendelea kujengwa kwa kasi ndani ya muda uliopangwa.