28 Oct 2025 10:54 am | Citizen TV 705 views Duration: 1:22 Ujenzi wa nyumba 816 za kisasa eneo la kisauni kaunti ya mombasa umefikia asilimia 50. Nyumba hizo zinazojengwa mtaani kwa sonko mtopanga zinatazamiwa kukamilika baada ya mwaka mmoja.