Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa nyumba za bei nafuu wabuni nafasi za ajira

  • | Citizen TV
    255 views
    Duration: 1:39
    Mradi wa Nyumba za bei Nafuu unaendelea kupata umaarufu kwa kubuni nafasi za kazi. Katika maeneo ya Kikuyu, Limuru na Ngong, wahitimu wa vyuo na vijana walio kwenye mafunzo wanafanya kazi bega kwa bega na mafundi waliobobea, wakitumia maarifa ya darasani kuyaweka katika vitendo.