Ujenzi wa soko mpya umeleta mvutano miongoni mwa wafanyibiashara

  • | K24 Video
    127 views

    Mzozo wa umiliki wa vibanda katika soko jipya la Ruiru kaunti ya Kiambu miongoni mwa wafanyibiashara unaonekana hautaisha wakati wowote kutoka sasa.hii ni hata baada ya gavana wa kiambu kimani wamatangi pia kufeli kutatua mzozo huo kiini kikuu kikitajwa kuwa ubaguzi…