6 Feb 2026 1:49 pm | Citizen TV 247 views Kaunti ya Wajir inajiandaa kuwa mwenyeji wa sherehe zijazo za kitaifa, huku serikali ikiongeza juhuzi za maandalizi ya ujenzi wa uwanja wa kisasa wenye uwezo wa kuingia watu elfu kumi.