- 12,941 viewsDuration: 3:11Siasa za uongozi wa jamii ya ukanda wa Magharibi zinaendelea kushika kasi, huku wanasiasa wazoefu na vijana sasa wakikabana koo. Ujio wa seneta wa Nairobi Edwin Sifuna unaonekana kukoroga hesabu za wanaunga mkono serikali ya Kenya Kwanza, wasijue iwapo Sifuna atawapokonya tonge mdomoni au la. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya