- 514 viewsDuration: 3:42Kwa miaka mingi, ukame umeendelea kuhangaisha jamii zinazoishi maeneo ya kaskazini mwa kenya ambako maafa yameendelea kuripotiwa kila mwaka. Mmoja wa waathiriwa wa ukame ni mzee Bobo Sora kutoka eneo la North Horr kaunti ya Marsabit aliyepoteza mali yake yote, kiasi cha kukosa tena matumaini. Maelfu ya watoto wamesalia kwenye hatari ya utapiamlo kutokana na hali hii