ukarabati wahitajika barabara kuu ya lamu-witu-garsen

  • | Citizen TV
    300 views

    Viongozi wa kaunti ya Lamu wameshinikiza serikali kupitia Wizara ya Barabara nchini Kenya kuifanyia ukarabati barabara kuu ya Lamu witu na Garsen iliyojaa mashimo mengi yanayohatarisha usalama wa Lamu na pia kutatiza shughuli za bandari ya Lamu.