- 624 viewsDuration: 3:40Maswali yameendelea kuibuka kuhusu vifo vya watu wawili James Muraga Maina mwenye miaka 29 na Daniel Nudhu Njoki wa miaka 45, waliopatikana wameuawa mtaani Kahawa West. Inadaiwa kuwa mhusika mkuu wa vifo vya wawili hao ni afisa wa polisi wa utawala wa ngazi ya sajenti. Kama anavyotuafu ode francis uchunguzi wa maiti umeonyesha kuwa wawili hao walifariki baada ya kupigwa na kifaa butu pamoja na kulazimishwa kumeza pili pili na mahindi mbichi