Ukeketaji Kajiado: Wasichana wapata hifadhi shule

  • | KBC Video
    29 views

    Ukeketaji na ndoa za mapema zinaendelea kuwa vikwazo katika kuafikiwa kwa mpito wa asilimia 100 kwa baadhi ya wasichana katika kaunti ya Narok. Hata hivyo shule moja ya upili katika kaunti ya Narok imefungua milango yake kwa wasichana waliookolewa kwa wakati dhidi ya mila hiyo kandamizi. Sarafina Robi na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive